Kocha wa Arsenal ashauriwa kumpa unahodha David Luiz Sultan Mapigo Monday, August 19, 2019 Kocha wa Arsenal,Unai Emery ameshauriwa kumteua David Luiz kuwa nahodha mpya wa timu hiyo. Luiz alijiunga na Arsenal hivi karibuni akitoke... Continue Reading
Ni mtanange kati ya Liverpool vs chelsea Sultan Mapigo Wednesday, August 14, 2019 Miamba miwili kumenyana hii leo barani ulaya .Je nani ataibuka kinara dhidi ya mwingine? Tusubiri majibu ndani ya dk 90 za mtanange huo. Continue Reading
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 28.07.2019: Maguire, Lukaku, Gueye, Kean, Alves, Bale, Pogba Saa moja iliyopita Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii WhatsApp Sambaza habari hii Messenger Mshirikishe mwenzako Sultan Mapigo Sunday, July 28, 2019 Real Madrid iko tayari kutoa dau la £150m ili kumnunua kiungo wa kati wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba, 26, baada ya ku... Continue Reading
Manchester United kumuongezea mkataba David de Gea Sultan Mapigo Friday, July 19, 2019 David de Gea anatazamiwa kusaini kandarasi mpya ya miaka mitano kuendelea kuitumikia klabu yake hiyo huku mshahara wake ukizidi kutuna. Ml... Continue Reading
Barcelona wapo tayari kutoa pesa na wachezaji wawili kwaajili ya Neymar Sultan Mapigo Friday, July 19, 2019 Klabu ya Barcelona imetenga kiasi cha £90m pamoja na wachezaji wawili kwaajili ya kumsajili tena mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Neyma... Continue Reading
Arsenal yakubali kumsajili beki kutoka Saint-Etienne Sultan Mapigo Friday, July 19, 2019 Klabu ya Arsenal imefikia makubaliano na klabu ya Saint-Etienne kumsajili beki William Saliba. Katika mpango huo utamfanya Saliba kurejea ... Continue Reading
Hii ndio sare mpya ya Manchester City Sultan Mapigo Friday, July 19, 2019 Club ya Manchester City inasema sare yake mpya "inatatiza, inavutia na inathubutu". Ina rangi za kuvutia bila ya shaka, baadhi y... Continue Reading