Katika mpango huo utamfanya Saliba kurejea kwenye klabu hiyo inayoshiriki Ligue 1 kwa mkopo msimu ujao.
Saliba mwenye miaka18 amecheza michezo 17 kwenye klabu ya Saint-Etienne msimu uliopita na alijumuishwa kwenye kikosi cha Ufaransa U20 kwenye kombe la Dunia kipindi hiki cha kiangazi.


No comments:
Post a Comment