Madagascar yaendelea kugawa dawa ya Corona licha ya kuwepo shaka na upinzani
Sultan Mapigo
Sunday, May 10, 2020
Licha ya kuwepo shaka na upinzani dhidi ya dawa inayodaiwa kutibu ugonjwa wa Covid-19, serikali ya Madagascar inaendelea kugawa dawa hiyo....
