Adbox

Sunday, May 10, 2020

TAKUKURU yaokoa Sh bilioni 1.2 Mkoani Iringa

TAKUKURU mkoani Iringa katika kipindi cha mwezi Januari hadi Juni, 2020 imeokoa kiasi cha fedha zaidi ya shiliingi bilioni 1.2 na magari mawili aina ya Fuso Mitsubishi lenye namba ya usajili T 165 BLW na Nissan Serena yenye usajili T 311 DDF kutokana opresheni mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Adbox