Klabu ya Barcelona imetenga kiasi cha £90m pamoja na wachezaji wawili kwaajili ya kumsajili tena mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Neymar.
Klabu hiyo ya Hispania imewapa orodha ya wachezaji klabu ya PSG ambao wanaweza kujumuishwa kwenye mpango huo ambao ni Philippe Coutinho, Ousmane Dembele, Ivan Rakitic, Nelson Semedo, Malcom and Samuel Umtiti.
Friday, July 19, 2019
Barcelona wapo tayari kutoa pesa na wachezaji wawili kwaajili ya Neymar
Tags
# Tetesi za soka
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Tetesi za soka
Tags:
Tetesi za soka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment