Adbox

Friday, July 19, 2019

Hii ndio sare mpya ya Manchester City

Club ya Manchester City inasema sare yake mpya "inatatiza, inavutia na inathubutu". Ina rangi za kuvutia bila ya shaka, baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii wanasema inaonekana kama iliyomwagiliwa kinywaji, wengine wakisema inakaa kama pipi. 

No comments:

Post a Comment

Adbox