Na Daudi Tiganya
Wtoto wawili Tarhana Mashaka Juma (mwaka 1) na Faisal Mashaka Juma (miaka 5) waliopotea mkoani Mbeya wamepatikana Tabora.
Serikali kwa kushirikiana na jeshi la polisi inamuhoji mama mmoja anayehisiwa kuwa na matatizo ya akili ambaye ndiye aliyewachukua watoto hao jijini mbeya na kusafiri nao mkoani Tabora.
No comments:
Post a Comment