Adbox

Wednesday, July 24, 2019

VIDEO: ''Mungu ametupa Rais mzuri, mwacheni Magufuli afanye kazi


Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama leo amesema amempongeza Rais Magufuli kwa jitihada anazozifanya za kuimarisha uchumi wa nchi ambapo pia amewaomba watanzania wote kumuunga mkono na kuzingatie fursa ambazo zinakuja siku za karibuni ambapo kutafanyika mkutano wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa afrika SADC huku kukitarajiwa kufika wageni zaidi ya 1000.



No comments:

Post a Comment

Adbox