Gama amesema alikamatwa na askari wa vikosi hivyo walioshirikiana na askari wa kupambana na ujangili wa taasisi ya Honeyguide.
“Kikosi cha doria wamemkamata na gobore moja, pikipiki mbili, risasi sita na visu vinne,” amesema.

About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment

No comments:
Post a Comment