Kesi imehairishwa hadi March 26 ambapo hakimu atakuja kutolea uamuzi.
Upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili mfanyabiashara James Rugemarila umeiomba Mahakama kutupilia mbali maombi ya kuondolewa kwenye shauri hilo kwa sababu Mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi.
Maombi hayo yamewasilishwa na wakili wa serikali Wankyo Simon mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Huruma Shaidi ambapo amedai kuwa maombi na pingamizi yamewasilishwa katika wakati usio muafaka kusikilizwa.
Kesi imehairishwa hadi March 26 ambapo hakimu atakuja kutolea uamuzi.
Kesi imehairishwa hadi March 26 ambapo hakimu atakuja kutolea uamuzi.

No comments:
Post a Comment