Adbox

Thursday, March 12, 2020

Atakayekubari kuingizwa virusi vya corona na kufanyiwa majaribio kupewa mamilioni

Wanasayansi kutoka London wanatafuta Watu 24 ambao watakuwa tayari kujitolea ili waingizwe virusi vya corona mwilini na kufanyiwa majaribio ya dawa itakayotumika kama kinga ya kuzuia corona, kila atakayekubali atalipwa Euro 3500 (wastani wa Tsh.Million 9 za Kitanzania)

No comments:

Post a Comment

Adbox