Adbox

Wednesday, March 25, 2020

Atakayepandisha bei kisa corona kufutiwa leseni- Museveni

Rais Museveni amesema wafanyabiashara wanaopandisha bei ya chakula kisa corona watafutiwa leseni zao na hawatopewa tena

”nitatuma Watu kuchunguza nikikubaini hautofanya biashara hapa tena, mimi ni mkulima sioni haja ya kupandisha bidhaa bei kisa corona"

No comments:

Post a Comment

Adbox