Adbox

Wednesday, March 25, 2020

Waziri mkuu wa India atangaza nchi nzima kukaa ndani kwa siku 21

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ametangaza lock down ya siku 21 kuanzia jana March 24,2020 ambapo hakuna Mtu anayeruhusiwa kutoka nje ya nyumba yake.

 Askari wametanda kila kona na ukitoka nje bila sababu ya msingi wanakushugulikia "njia pekee ya kuokoa maisha yetu dhidi ya corona ni kubaki ndani, hata iweje usitoke nje"

No comments:

Post a Comment

Adbox