Adbox

Sunday, February 2, 2020

Serikali za Tanzania,Burundi na DR Congo kujenga reli ya kisasa (SGR)

Serikali za Tanzania,Burundi na  Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC) zimekubaliana  kwa kujenga reli ya kisasa (SGR) kutoka Uvinza  mkoani Kigoma kupitia Musongati na Gitega nchini Burundi mpaka Uvira na Kindu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

No comments:

Post a Comment

Adbox