Ruhani alitoa taarifa kuhusiana na virusi vya Corona wakati akihutubia kwenye ufunguzi wa barabara kubwa inayounganisha Tehrani na kusini mwa nchi.
Ruhani amewataka watu wasizame katika uoga na wafuate maelekezo yatakayotolewa na wizara ya afya.
“ Corona sio hatari zaidi ya virusi vya influenza B, sisi tunakinga dhidi ya virusi hivyo, na Corona pia tutaipatia chanjo. Virusi vya Corona ni kama vile mgeni aliyekuja bila ya mwaliko na ameenea katika mataifa yote”.


No comments:
Post a Comment