Watu 4 zaidi wafariki kutokana na virusi vya Corona, Covid-19 nchini Iran na kufanya idadi ya watu waliofariki kutokana na virusi hivyo nchini humo kufikia 16.
Naibu waziri wa afya wa Iran, İreç Herirçi, amesema kwamba nay eye ni miongoni mwa watu walioambukizwa na virusi vya Corona. Mpaka kufikia sasa idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini humo ni watu 96.
Wednesday, February 26, 2020
Iran: Naibu waziri wa afya aambukizwa virusi vya Corona
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment