Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 33 kabla ya Sergi Roberto kufunga la pili dakika ya 39 katika ushindi wa 2-1 leo dhidi ya Getafe ambayo bao lake limefungwa na Angel Rodriguez dakika ya 66 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou.
Ushindi huo unaifanya Barca ifikishe pointi 52 katika mchezo wa 24, sawa na Real Madrid yenye mechi moja mkononi.
Sunday, February 16, 2020
Barcelona yaipa kichapo Getafe
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment