Mshambuliaji Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Liverpool dakika ya 78 hilo likiwa bao lake la 100 England katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Norwich kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Carrow Road.
Ushindi huo unaifanya Liverpool ifikishe pointi 76 katika mchezo wa 26 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 25 zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City
Sunday, February 16, 2020
Liverpool yaendeleza ubabe Uingereza
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment