"Nawapongeza Wilaya ya Busega kwa kuandaa tamasha ili la Utalii, nakupongeza sana Mkuu wa Wilaya ya Busega. Kupitia tamasha ili lazima tutangaze vuvutio tulivyo navyo," alisema.
Lakini pia nawaomba kwamba kuweka ratiba kufuatana na msimu wa utalii nchini ili kuunganisha watalii na matamasha hilo wanapokuja waweze kutoka Serengeti na kwenda kutazama ngoma zinazoendelea ndani ya Lamadi Utalii Festival.
No comments:
Post a Comment