Mshambuliaji Lionel Messi akionyesha tuzo yake mpya ya Ballon d'Or kabla ya mechi ya La Liga na Mallorca Uwanja wa Nou Camp jana ambayo Barcelona ilishinda 5-2 huku yeye akipiga hat-trick na kumpiku Cristiano Ronaldo kwa kufunga hat trick nyingi kwenye La Liga (35-34).
Messi alifunga mabao yake dakika za 17, 41 na 83, wakati mengine yalifungwa na Antoine Griezmann dakika ya saba na Luis Suarez dakika ya 43, huku ya Mallorca yakifungwa na Ante Budimir dakika ya 35 na 64.
Sunday, December 8, 2019
Messi azidi kumtesa Ronaldo
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment