Hii ni awamu ya kwanza, yanayokuja pale Bunju Complex yatafurahisha nchi na Wanasimba wote, katika suala la miundombinu ya Bunju niwahakikishie wanachama wenzangu mambo yatakuwa bul bul"
"Awamu ya pili ya ujenzi wa Bunju Complex, kujenga hosteli yenye vyumba vya kulala, gym, ofisi za benchi la ufundi, jiko na kantini ya chakula, nutritional center, chumba maalum cha kitaalam kwa uchambuzi wa mechi zetu na mazoezi, pamoja na technical room."
"Mradi huu unatarajiwa kuwa na thamani ya Tsh. Bilioni 2.5 na kwa kuanzia kama mwanachama na Mwenyekiti wa Bodi nitachangia kiasi cha Tsh. milioni 500. Wanasimba wanahamu yakuchangia ujenzi na upanuzi wa Bunju Complex."
"Kiasi kilichobaki tutafanya fundrising ili kupata fedha inayotakiwa, bila shaka tutafanikiwa ili kwenye msimu wa 2021/22 tuwe kwenye hostel zetu. Kazi yangu ni kuhakikisha wachezaji wanapata mazingira bora na mishahara mizuri ili waweze kufocus na kushinda"
Mohammed Dewji Mo, Mwekezaji wa klabu ya Simba
Sunday, December 8, 2019
Mo Dewji aahidi makubwa zaidi Bunju Complex
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment