Mtanzania, Elizabeth Mrema, ameteuliwa kuwa Kaimu Katibu Mtendaji wa Sekretarieti inayosimamia Mkataba wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa tofauti za kibiolojia (CBD).
Uteuzi huo umefanywa na Katibu Mkuu wa UN, António Guterres kufuatia kujiuzulu kwa Cristiana Palmer raia wa Romania kutokana na sababu za kiafya na utaanza rasmi Disemba 1, mwaka huu.
Sunday, November 24, 2019
Mtanzania ateuliwa UN
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment