Adbox

Sunday, November 24, 2019

Rais Magufuli na Mkewe waudhuria Misa Takatifu katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki Ibada ya Misa takatifu dominika ya 34 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Parokia ya Chamwino Ikulu Jijini Dodom Novemba 24, 2019.

Hii ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushiriki misa katika parokia hii toka ahamie rasmi Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Adbox