Nyota ya mtanzania Mbwana Samatta imeendelea kung'aa kwenye medani ya soka, Mbwana ametajwa kwenye orodha ya wachezaji 30 watakaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika anayecheza nje ya Afrika kwa mwaka 2019.
Orodha hiyo iliyotolewa na Shirikisho la Mpira barani Afrika CAF, imeundwa na jopo la wanahabari na wataalamu wa maswala ya soka, tuzo hizo zitafanyika tarehe 7 mwezi januari 2020 nchini Misri.
Sherehe za tuzo hizo zitafanyika Januari 7, 2020 nchini Misri.
ORODHA KAMILI
Katika kipengele cha mchezaji bora wa mwaka ambako Mtanzania Mbwana Samatta yumo, orodha kamili hii hapa.
1. Achraf Hakimi - Morocco & Borussia Dortmund.
2. André Onana - Cameroon & Ajax
3. Baghdad Bounedjah – Algeria & Al-Sadd.
4. Carolus Andriamatsinoro - Madagascar & Al Adalah.
5. Denis Onyango - Uganda & Mamelodi Sundowns.
6. Eric Maxim Choupo Moting - Cameroon & PSG.
7. Ferjani Sassi - Tunisia & Zamalek.
8. Hakim Ziyech - Morocco & Ajax.
9. Idrissa Gueye - Senegal & Paris Saint-Germain.
10. Ismail Bennacer - Algeria & AC Milan.
11. Jordan Ayew - Ghana & Crystal Palace
12. Kalidou Koulibaly - Senegal & Napoli.
13. Kodjo Fo Doh Laba - Togo & Al Ain.
14. Mahmoud Hassan"Trezeguet" - Egypt & Aston Villa.
15. Mbwana Samatta - Tanzania & Genk.
16. Mohamed Salah - Egypt & Liverpool.
17. Moussa Marega - Mali & Porto.
18. Naby Keita - Guinea & Liverpool.
19. Nicolas Pepe - Côte d'Ivoire & Arsenal.
20. Odion Ighalo - Nigeria & Shanghai Shenhua.
21. Percy Tau - South Africa & Club Brugge.
22. Pierre-Emerick Aubameyang - Gabon & Arsenal.
23. Riyad Mahrez - Algeria & Manchester City.
24. Sadio Mane - Senegal & Liverpool.
25. Taha Yassine Khenissi - Tunisia & Esperance.
26. Thomas Teye Partey - Ghana & Atlético Madrid.
27. Victor Osimhen - Nigeria & Lille.
28. Wilfred Ndidi - Nigeria & Leicester City.
29. Wilfried Zaha - Côte d'Ivoire & Crystal Palace.
30. Youcef Belaili - Algeria & Ahli Jeddah.
Sunday, November 24, 2019
Mbwana Samatta atajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora Afrika
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment