Adbox

Sunday, November 24, 2019

Arturo Vidal aing'arisha Barcelona

Kiungo wa Barcelona Arturo Vidal (kushoto) akishangilia na wenzake baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 79 akitokea benchi kuchukua nafasi ya Antoine Griezmann katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Leganes Uwanja wa Manispaa ya Butarque.

Youssef En-Nesyri alianza kuifungia Leganes dakika ya 12 kabla ya Luis Suarez kuisawazishia Barcelona dakika ya 53 akimalizia mpira wa adhabu wa Nahohda, Lionel Messi.

No comments:

Post a Comment

Adbox