Mfaransa Alexandre Lacazette akiifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya sita ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida katika sare ya 2-2 na Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates.
Lacazette pia alifunga bao la kwanza la Arsenal dakika ya 18, wakati mabao ya Southampton yalifungwa na Danny Ings dakika ya nane na James Ward-Prowse dakika ya 71.
Sunday, November 24, 2019
Arsenal yaambulia sare mbele ya Southampton
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment