Mbrazil Roberto Firmino akishangilia na wachezaji wenzake, Waholanzi Georginio Wijnaldum na Virgil van Dijk baada ya kuifungia bao la pili Liverpool dakika ya 85 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace leo Uwanja wa Selhurst Park, London.
Liverpool ilitangulia kwa bao la Sadio Mane dakika ya 49 kabla ya Wilfried Zaha kuisawazishia Crystal Palace dakika ya 82.
Sunday, November 24, 2019
Liverpool yazidi kupaa Ligi Kuu ya Uingereza
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment