Waliokumbwa na mkasa huo ni Dadi Mohamedi (49) na Omary Burian (27), wote wawili wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lindi 'Sokoine' kwa matibabu zaidi.
Tayari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi amesema anazo taarifa na wanaendelea na taratibu za Kipolisi kisha baadae atatoa taarifa zaidi.



No comments:
Post a Comment