Adbox

Tuesday, October 29, 2019

Yanga kuifuta Pyramids FC Oktaba 31

Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa, Yanga, wanarajia kuondoka hapa nchini Oktoba 31 mwaka huu kwenda Misri kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Pyramids FC katika hatua ya mtoano ya kombe la shrikisho la CAF.

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Dismas Ten amewaomba wanayanga kuwa pamoja kipindi hiki ambacho timu inajiandaa na mchezo wa marudiano unaotarajiwa kufanyika Novemba 3 jijini Cairo.

Katika mchezo wa awali uliocheza uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, Yanga walipoteza kwa goli 2-1.

Katika hatua nyingine Naibu Katibu Mkuu wa Matawi ya Yanga Zanzibar Said Kofi amekemea tabia ya baadhi ya mashabiki kumfanyia vitendo vya utovu wa nidhamu kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera akisema vitendo hivyo

No comments:

Post a Comment

Adbox