Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetaja tarehe ambayo inatarajiwa kuadhimishwa Maulid, ambayo ni mazazi ya Mtume Muhammad (S.A.W) kitaifa.
Katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa baraza hilo, Mohammed Khamis Said, kwa vyombo vya habari, BAKWATA imetangaza kuwa mwezi uliandama usiku wa Jumanne, tarehe 30 SAFAR 1441H sawa na Oktoba 29, 2019, hivyo leo ni mwezi mosi (tarehe 01 RABIUL AWWAL) sawa na Oktoba 30, 2019.
Thursday, October 31, 2019
Tarehe maadhimisho ya Maulid yatajwa na BAKWATA
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment