Adbox

Monday, October 28, 2019

Spika Ndugai azungumza na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki

Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Martin Ngogi Ofisini kwake leo Jijini Arusha

Spika wa Bunge, Job Ndugai(kulia) akipokelewa na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Martin Ngogi wakati alipowasili nje ya viwanja vya Bungeni leo Jijini Arusha

No comments:

Post a Comment

Adbox