Adbox

Saturday, October 19, 2019

Rais Magufuli atengua utezi wa Mkurugenzi wa Halmashauri

Rais Magufuli pia ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Bw. Bakari Mohammed Bakari, na nafasi yake ameteuliwa Bw. Hassan Abbas Rungwa.

No comments:

Post a Comment

Adbox