Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya Waumini wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Joseph baada ya Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Oktoba 27,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi pamoja na Mzee wa Kanisa Dkt. Adelhelm Meru baada ya Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Oktoba 27,2019.
No comments:
Post a Comment