Mshambuliaji hatari wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Uruguay, Luis Suarez, ametimiza magoli 400 katika ngazi ya vilabu.
Suarez amefikisha idadi hiyo ya magoli usiku wa jana baada ya kuifungia Barca goli moja katika ushindi wa mabao 2-0 walioupata wakiwa ugenini dhidi ya Getafe.
Mchezaji huyo ametimiza idadi hiyo ya mabao kutoka timu tano ambazo amewahi kuzichezea ikiwemo Nacional, Groningen, Ajax, Liverpool na Barcelona.
Hii ni idadi ya magolo ambayo ameifungia kila timu aliyoichezea:
Nacional-12
Groningen-15
Ajax-111
Liverpool-82
Barcelona-180 .
Sunday, September 29, 2019
Suarez atimiza magoli 400 ngazi ya vilabu
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment