Adbox

Sunday, September 29, 2019

Rais wa China Xi Jinping amtunuku Nishani ya Juu ya Urafiki Waziri Mkuu mstaafu Dkt Salim

Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Salim Ahmed Salim, ametunukiwa Nishani ya Juu ya Urafiki na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping.
 
Mtoto wa Dkt Salim, Maryam Salim, amepokea nishani hiyo kwa niaba ya baba yake.

 
Tuzo hii ya Dkt. Salim ni kwa ajili ya mchango wake binafsi na wa Tanzania katika kufanikisha Bara la Afrika kuiunga mkono China kurejea kuwa mwanachama wa UN ikiwa nchi moja mwaka 1971.

No comments:

Post a Comment

Adbox