Adbox

Sunday, September 29, 2019

Simba yaweka wazi kikosi chake kitakachocheza na Biashara leo

Klabu ya soka ya Simba SC imeweka hadharani kikosi cha wachezaji wake ambao wataanza kwenye mchezo wao wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Biashara United.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo (Jumapili) majira ya saa 10 jioni katika uwanja wa Karumbe mjini Musoma.


Kwa sasa Simba inaongoza ligi kuu ikiwa na alama tisa wakifuatiwa na Kagera Sugar wenye alama alama tisa huku wakiwa tayari wameshacheza michezo minne.

No comments:

Post a Comment

Adbox