Adbox

Friday, September 6, 2019

Prof. Kitila Mkumbo awataka watendaji RUWASA kufanya kazi kwa nidhamu

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo awataka watendaji wa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kufanya kazi kwa nidhamu ya hali ya juu na kuleta matokeo makubwa kwa haraka.

No comments:

Post a Comment

Adbox