Adbox

Monday, September 23, 2019

Picha: Spika Ndugai akutana na Balozi wa Zimbabwe nchini

Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Lt. Jenerali Mstaafu, Anselem Nhamo Sanyatwe akizungumza na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya kongwa wakati alipowatembelea leo Mjini Dodoma. Kushoto kwake ni Spika wa Bunge na Mbunge wa kongwa, Mhe. Job Ndugai na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Mhe. Deogratius Ndejembi
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Lt. Jenerali Mstaafu, Anselem Nhamo Sanyatwe baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Adbox