Adbox

Monday, September 2, 2019

Picha: Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Zubeir Ali Maulid na Spika wa Bunge la Kenya pia Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji Chama cha Mabunge  Justin Maturi (katikati) wakiongozwa na Mpambe Mwinyi Haji Abu(mwenye Siwa) wakati  leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo  pichani) akiingia katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar kufungua Mkutano wa 50  wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola  kwa Kanda ya Afrika 



No comments:

Post a Comment

Adbox