Wizara ya Mambo ya nje nchi Nigeria imetangaza kuwa shirika ya ndege ya la ‘Air Peace’ limejitolea kutuma ndege zake kwenda Afrika Kusini kesho Ijumaa ili kuwahamisha raia wa Wanigeria wanaotaka kurudi nchini, bila malipo yoyote.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria, Geoffrey Onyeama amewaambia wanahabari siku ya jana kuwa kulingana na taarifa zilizowafikia, hakuna raia wa Nigeria aliyepoteza uhai kwenye ghasia zinazoendelea.
"Kwa ujumla unashauriwa kuwajulisha jamaa zao waishio huko Afrika Kusini kutumia fursa hii ya kupendeza." aliesema.
Nchi ya Afrika Kusini katika miji mikubwa imekumbwa na vurugu kufuatia raia wa kigeni wanaofanya biashara kufanyiwa fujo na vijana ambao wanadai nafasi zao za ajira zimechukuliwa na wageni.
Thursday, September 5, 2019
Nigeria kuwarudisha kwa ndege bure raia wake waishio Afrika Kusini
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment