| Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea zawadi iliyotolewa kwa Rais Dkt. John Magufuli na Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj (kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi |
![]() |
| Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na Kiongozi Mkuu wa Kiroho wa Madhehebu ya Kihindu, Mtukufu Mahant Swami Maharaj (kushoto).Kiongozi huyo wa kiroho yuko nchini kwa ziara ya kikazi |




No comments:
Post a Comment