Adbox

Sunday, September 22, 2019

Matokeo ya michuano ya CECAFA U20 leo

Michuano ya CECAFA U20 imeendelea kwa mchezo wa Ethiopia dhidi Tanzania Bara na haya ndio matokeo ya mchezo huo.

Katika mchezo huo Andrew Simchimba amepiga hat-trick na kuiwezeshaTanzania kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ethiopia katika mchezo wake wa kwanza uliomalizika hivi punde, Jinja nchini Uganda.

No comments:

Post a Comment

Adbox