Adbox

Monday, September 23, 2019

Haji Manara kuendelea kuwa msemaji wa Simba

Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba imemteua Haji Manara kuwa msemaji rasmi wa klabu hiyo.

"Asanteni Sana Wanasimba wote hususan Bodi ya Wakurugenzi chini ya Mwenyekiti wetu Mohammed Dewji,lakini kubwa kwa CEO wetu mpya Mr Senzo kwa kuendelea kuniamini kufanya kazi katika Klabu hii kama Msemaji wao rasmi, Insha'Allah ntaendelea kufanya kazi hapa kwa spirit ile ile”  ameandika Haji Manara mtandaoni.

No comments:

Post a Comment

Adbox