Adbox

Sunday, September 22, 2019

Breaking News: Rais Magufuli afanya utezi mwingine

Rais John Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Pia amemteua Mohamed Khamis Hamad (Wakili wa Serikali katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar) kuwa Makamu Mwenyekiti wa tume hiyo.

No comments:

Post a Comment

Adbox