Adbox

Sunday, September 22, 2019

Rais Magufuli achangia milioni 10 timu ya taifa ya walemavu

Rais Magufuli ametoa shilingi milioni 10 kwa timu ya taifa ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu inayojiandaa kushiriki mashindano ya mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu Afrika (CANAF) yaliyopangwa kuanza tarehe 01 Oktoba, 2019 katika Mji wa Benguela nchini Angola.

No comments:

Post a Comment

Adbox