Tanzania imechaguliwa kuwa miongoni mwa nchi 8 za Afrika zitakazoonesha bidhaa zake katika maonesho ya 2019 China International Importation Expo yatakayofanyika Shanghai kuanzia tarehe 5-10 Novemba mwaka huu.
Maonesho hayo ni sehemu ya hatua za China kufungua soko lake kwa bidhaa za nje. Ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo utaratibiwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Bishara (TANTRADE).
No comments:
Post a Comment