Kwa upande Mwingine Mdhamini Mkuu wa Maonyesho hayo Benki ya NBC imeitaja TCCIA kama Mshirika wao Muhimu katika kuwasaidia Wajasiria mali na wanaoanzisha Viwanda na Kilimo na wao kama Benki wamekuwa wakiwapa Ushirikiano,
Pia Maonyesho hayo ambayo yalihudhuriwa na Dk Meshack Kulwa Mjumbe wa Bodi na Mwenyekiti TCCIA Shinyanga ambaye alimwakilisha Kaimu Rais wa TCCIA Ndg Octavian Mshiu ambaye yeye alishiriki Kufungwa kwa Maonyesho ya Kimataifa ya SADC.
Dk Meshack akicheza ngoma maarufu ya Kisuma na baadhi ya Viongozi waandamizi wa Serikali pamoja na Wabunge.



No comments:
Post a Comment