Adbox

Friday, August 9, 2019

Ajib na baadhi ya wachezaji waachwa Bongo, Simba ikielekea Msumbiji

Nyota nane wa Simba wamebaki Bongo wakati kikosi kikwea pipa leo kuelekea Msumbiji:-

Said Ndemla

Yusuf Mlipili

Kennedy Juma

Aishi Manula

Wilker da Silver.

Ibrahim Ajib

Haruna Shamte

Miraj Athuman

No comments:

Post a Comment

Adbox