Kocha wa timu ya Township Rollers ya Botswana, Tomas Trucha pamoja na kepteni wake Maano Ditshupo wamefunguka kuhusu mchezo wao wa Jumamosi hii wa CAF dhidi ya Yanga SC. Wwameongeza kuwa wanauhakika watapata washangiliaji wengi kuliko miaka mitatu iliyopita walivyocheza na Yanga kwa mara ya kwanza.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

No comments:
Post a Comment