Adbox

Saturday, July 13, 2019

Waziri Mkuu awasili Kigoma


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Gaudencia Kabaka wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma kufungua Kongamano la Wananwake Kitaifa, kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Amandus Dismas Nzamba

No comments:

Post a Comment

Adbox